Familia ya Bwana Joseph Muhazi na Bi. Anna Njaiko wanasikitika kutangaza msiba wa Mama Mzazi wa Anna Njaiko kilichotokea March 31, 2016 huko Dar Es Salaam, Tanzania.
Taratibu za Mazishi zinaendelea.
Msiba upo 5417 16th Ave #104,
Hyattsville MD 20782.
Na Dar Es Salaam Banana Ukonga.
Kwa Taarifa kamili:-
Joseph Muhazi 2406466725
Anna Njaiko. 2025691154
Saidi Mwamende 3019964029
Terry Charles. 2407015166.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe.
No comments:
Post a Comment