Kwa niaba ya familia ya Kaka Adam Tenga na Dada Aziza Mitchum ; tunapenda kuwataarifu ya kuwa mwili wa mpendwa mama yao unaondoka California siku ya Jumatano April 6, 2016 saa 10:45 jioni (4:45 pm) na utawasili Tanzania siku ya Ijumaa April 8, 2016 saa 9:05 alasili (3:05pm) na ndege ya shirika la ndege la Emirates. Maziko ya mpendwa wetu yatakua Ruvu na Tanzania msiba upo Mtaa wa Tosheka nyumba namba 16, Magomemi Mapipa pembeni ya Deluxe Bar.
Familia inapenda kuwashukuru watanzania wote wa hapa DMV na wa States mbalimbali za hapa marekani kwa michango yenu kwenye kukamilisha gharama za mazishi ya mama yao.
Mpaka kufikia asubuhi ya leo April 1, 2016 :
Familia inapenda kuwashukuru watanzania wote wa hapa DMV na wa States mbalimbali za hapa marekani kwa michango yenu kwenye kukamilisha gharama za mazishi ya mama yao.
Mpaka kufikia asubuhi ya leo April 1, 2016 :
Total Donation Received
$20,318
Matumizi
Funeral Home Deposit $4,000
Balance Funeral Home $6,664
Ticket na masurufu. $2,000
Cash to TZ kusaidia. $2,000
Estimate Go Fund Fees $1,500
(Subject to change)
Total Expenses $16,164
Balance $4,154 to the family.
Kwa hali hii kamati inapenda kuwajulisha kuwa ukusanyaji wa michango umekamilika.
Kwa wale ambao wangependa kuendelea kutoa rambi rambi zao mnaweza kutoa kupitia Go Fund Me:
Wenu Mwenyekiti wa kamati:
Iddi Sandaly
Muweka Hazina wa kamati:
Asha Hariz.
Kaka Adam yupu nyumbani hapa DMV leo. Mnaweza kwenda kumpa pole na kumfariji.
Msiba uko :
DMV
6200 Ager Rd
Hyattsville, MD 20782
California
1441 Detroit Avenue
Concord, CA 94520
Kwa taarifa kamili :
Adam Tenga : 240-491-1770
Aziza Mitchum: 925-548-2585
Halima Chunda : 617-953-5375
Ally Mikidadi: 201-628-2133
Abdulahi Makeo: 240-318- 3419
Asha Harizi: 703-624-2409
Asha Nyanganyi: 301-793-2833
Mwajuma Awadhi : 510-205-9062
Jasmine Rubama: 410-371-9966
No comments:
Post a Comment