Bwana Emmanuel Muganda anasikitika kutangaza kifo cha shemeji yake Kanali Maxmilian Aikael Mbowe kilichotokea leo mchana katika hospitali ya Muhimbili Dar-es-salaam na mipango ya mazishi inaendelea kufanyika.Kwa mawisiliano zaidi wasiliana na
Emmauel Muganda
8810 Roundhouse Circle
Easton MD 21601
Eliud Mbowe
BWANA AMETOA NA AMETWAA

1 comment:
Pole sana Uncle Muganda na familia yote ya Mbowe
Post a Comment