ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 28, 2016

WANAMITINDO 3 KUTOKA TANZANIA KUFANYA MAAJABU KWENYE JUKWAA LA "DICOTA" MAREKANI

Katika ulimwengu wa Fashion bado mapambano yanaendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa zaidi, wanamitindo maarufu nchini Tanzania ambao kwa sasa wanaishi nchini Marekani yaani hapo namzungumzia Mama wa mitindo Asya Idarous khamsin, Judy & Flora wanategemea kufanya maajabu yao kwa kuonesha mitindo kwenye Onesho kubwa 'Dicota 2016' ambalo linategemea kufanyika Ijumaa ya Tarehe 29 April 2016 "Hyatt Regency North Dallas".

Hivyo kwa wadau wote wa mitindo na watanzania kwa ujumla suport yenu kwa wanamitindo hao, itapelekea ongezeko la ukuaji wa Tasnia ya mitindo Tanzania kwa pamoja tunawatakia Kila la-kheri Kwenye onesho hilo.

No comments: