Advertisements

Monday, May 30, 2016

[AMPLIFAYA]....Ripoti kuhusu takwimu za mifuko ya plastiki (live)

Photo Credits: bigfatbags.co.uk
Hivi karibuni, serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitanganza kuanza kuchukua hatua kuhusu athari za mifuko ya plastiki kwa mazingira yetu
Watu mbalimbali wamekuwa na mtazamo kinzani juu ya maamuzi hayo.
Wapo wanaoamini kuwa mifuko hiyo ni sehemu ya uchafuzi wa mazingira na wengine wanaamini kuwa kwa kuondolewa kwake, kuna sehemu ya ajira ambayo itaathirika.
Ripoti hii ya Mubelwa Bandio katika Amplifaya ya Mei 30, 2016 imegusia baadhi ya takwimu chache kuhusu suala hili
KARIBU

2 comments:

Anonymous said...

kwanza serikali inapaswa kuwa clear kuwa ni aina gani ya plastics wanatarajia kupiga marufuku. Je ni shopping pags, any kind of platic packaging, au mifuko myepesi under 30microns kama ilivyoainishwa wakati wa katazo la kwanza wakati wa serikali ya B.Mkapa? kwani kauli ya J.Makamba ya kusema mifuko na vifungashio haikuwa clear na ndio maana gazeti la mwananchi la mei.30 limekaririwa kuwa "serikali yashusha rungu pombe za kwenye viroba".
- Kwa aina yoyote ya plastics ambayo serikali inatarajia kuweka katazo la kudumu itambue kuwa itaathiri uchumi kwa kiasi Fulani na hii itakinzana na dhana yake ya kujenga ajira zaidi na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda.
- Nnapoongelea ajira nina maanisha makampuni yote yanayo tengeneza au kupack bidhaa zao katika plastic bags,sachets wataathirika na kulazimika ku retrench wafanyakazi wengi sana. Kwa nchi kama Tanzania ambayo unemployment rate bado iko kwenye doble digits(10.30) ni vema serikali ikatumia njia zingine ambazo zimetumiwa na mataifa mengine na kusaidia kupunguza matumizi bila kuathiri uchumi.
Baadhi ya steps ni kama alivyo elezea Bandio;
- kuweka kodi kwa watumiaji wa plastic bags.
- kuincourage wafanyabiashara kuwekeza katika recycling businesses ambapo ajira zaidi zitapatikana.
- kuaninisha aina ya na kiwango cha pastics zisizohitajika ie. under 30microns, or HDPE.
Uchafu wa mazingira ni changamoto kubwa nchini na sababu kubwa si plastic bags bali ni miundo mbinu ya taka kuwa mibovu, halmashuri zetu ziko under funded na hivyo kushindwa kufanya kazi za usafi kwa viwango, hulka ya wananchi kutolerate uchafu etc.
Kwa mtizamo wangu ,jambo hili linahitaji analysis ya kina nisiii kukimbilia kutoa matamko bila kuangalia athari zake kiuchumi.
vilevile Tanzania is not an extension of Rwanda eti kwakuwa wamefanikiwa jambo hilo then na sisi tuingie kichwax2, why cant we learn from Botswana ?

Unknown said...

kinacho itajika kwasasa ni serikali sikuweka sheria tu inabidi itafute njia mbadala kwajili ya kuiyondoa hii mifuko ya plastic kwanamna ipi wataiyondoa inabidi watoe elimu ya kutosha pamoja nakutoa fursa kwa wananchi ya wale wenyeujuzi wakuzalisha vifungashio vya karatasi ambavyo vitakizi maitaji yajamii na ubora huku tukipunguza uingizwaji wa plastic mitaani baada ya muda tutajikuta tumepiga hatua na mifuko ya plastic itakua imepungua kiasi kikubwa katika jamii ila kuweka sheria bila ya njia ya kufanya sawa na kutwanga maji kwenye kinu haitowezekana