Cesilia Francis akiingia ukumbini siku ya Ijumaa May 6, 2016 Clinton, Maryland
Cesilia Francis akipata ukodak na mumewe.
Cesilia akipata picha na dada yake.
Cesilia akimlisha keki mumewe.
Cesilia akipata picha na marafiki zake.
Cesilia akipata picha na familia ya mumewe.
63 comments:
Very nice!
Congrats!
Hongera sana mdogo wangu! Sio utani...You made it. Great achievemen, keep it up!
Ceci Nshomile! Safi sana. Hongera.
Well done
Jipongeze my dear. College is not easy. Kazi nzuri. Hongera
Yesu anaweza yote. Hongera dada
Mtani NSHOMILE umemaliza bwana. Shule na watoto sio utani. Na Cum Laude.
Hongera sana. Keep going! Mungu akubariki
Hongera ndugu yangu ...great!
Go girl....nice work. Mfano mzuri. Mungu mkuu
Wow! Big accomplishments. Thumbs up...move forward.
You made it cousin. Great!
Wise steps. Congrats.
I missed this event. Hongera Cesi wangu F. I .B you got me girl
Muhaya kiboko! Mpaka umepiga nondo. I see, hongera sana sana. Move forward. Big up!
Safi sana.....
HongEra kwa masomo na ndoa
Hongera sana Cesi great achievement!
Shule ngumu...nakupa hongera sana. Umeweza. Safi sana
Yes. You made it girl.....so lovely! More blessings.
So proud of you dear Ceci! Congrats
Duh Ceci umeweza, unastahili sifa. Mwenzio nilidrop. Mfano bora Hongera sana.
Hongera sana rafiki yangu Cecil mwenyezi Mungu azidi kukubariki always.
Umeweza my dear. Hongera
Oh my girl! That's a very nice step you took. Congratulations.
Hongera sana dada. Kazi nzuri. Uzidi kubarikiwa.
Jipongeze my dear. You made it. Congrats
Hongera kwa masomo. Uliimba vizuri sana. Kumbe wewe ni mtunzi pia unaimba! Gifted. Nilipenda sana sana wimbo wako wa gospel Ceci. Album unatoa lini? Naisubiri kwa hamu. You are talented jamani. Congratulations
Hongera sana Ceci. Great.
Mission accomplished! Keep going cousin. Congrats
Wow! Nilikuwa sijaona graduation yako my dear. Mmependeza saana jamani. Mbona hongera ndugu yangu na masomo. Umefanya kazi nzuri ya kusifiwa. Mungu azidi kukubariki sana. Hongera sana
Fantastic.
Congrats. Nakuona sister hutaki kanjanja. Umejichapia nondo yako mwenyewe. Safi sana.
Wewe mtoto well done. Congrats!
Wow! Mungu apewe sifa.! Congrats
Keep moving forward sister. Congratulations.
Hongera sana rafiki yangu jamani. Mambo mazuri haya. Barikiwa zaidi.
Chezea nshomile wewe! Hongera sana best.
Hongera sana mama Scott. Watoto wamepata mwanga mzuri wakufuata. Mungu akubariki sana na familia yako.
Congratulations Nshomila na nondoz. Safi sana. Thumb up!
Wow! Beautiful. Congrats
Gracious! Congrats
Congrats! Good example. Big up.
Kile unachopanda ndicho utakachovuna. Umevuna matunda mamii. Barikiwa na Hongera sana.
Very nice party. Congrats
Glory to God hallelujah!.so proud of you daughter. May almighty father our Lord in heaven bless you and you loving family. Congratulations.
Waiyuka omwana waitu. Bojo safi sana. Congratulations
Wow! I always like the way you carry yourself; goals achievers. Great job. Congrats.
Mmependeza wote! Nice. Congrats my dear.
Wimbo wako Ceci honestly umenigusa. Album please. Cograts
Wimbo wako Ceci honestly umenigusa. Album please. Nikotayari kununua kabisa. Cograts
My go getta girl. Nice congrats
Safi sana. Hongera dada.
Wow! Amazing Grace! Congratulations and peace be with you
Congrats! God is good!
I see Ceci. Safi sana. Hongera!
Well done. ����
Well done. ����congratulations!
Thumbs up. Congratulations
Hongera sister!
Ceci hongera sana. Mungu aendelee kukubariki na kukuinua kama wimbo wako usemavyo. Amen.
Go sister...thumbs up. Congrats ��
Beautiful sister. Congratulations
Post a Comment