Advertisements

Wednesday, May 25, 2016

DJ MKONGWE JERRY KOTTO ADAI AMEZAA NA MAMA YAKE DIAMOND, MSIKILIZE


Huyu ndio Esma ambaye Dj Jerry Kotto anadai ni mwanae ambaye amezaa na mama yake Diamond

4 comments:

Anonymous said...

Kwahiyo sasa unataka nini na tukusaidie nini????

Anonymous said...

Ulileya. Wewe

Anonymous said...

Huyu baba alikuwa wapi miaka yote mpaka binti amefikia umri huu mtu mzima? Mtoto sio kutia mbegu tu, lazima utoe matunzo. Kama aliingia mitini atokomèe. Kama binti atahitaji kumtafuta huo ni uamuzi wake.keshakuwa mkubwa wala mama hawezi kumzuia kuongea na babake

Anonymous said...

Wewe baba ulikuwa unasubiri wakulelee mtoto? Kama ulikuwa unajua mbona hukumtunza? Husitie aibu bwana! Ninyi ndio ma baba jina...