Advertisements

Tuesday, May 24, 2016

MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA ARDHI KWA MWAKA WA FEDHA 2016/17 YAPITISHWA


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akijibu hoja bungeni wakati wa mapitio ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya Aridh kwa mwaka wa fedha 2016/2017
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi na naibu waziri wake Mhe. Angelina Mabulla wakifuatilia hoja za wabunge wa mapitio makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya Aridh kwa mwaka wa fedha 2016/2017
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,  Mhe. Angelina Mabulla akipongezwa na watendaji wa Wizara nje ya ukumbi wa bunge baada ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kupitishwa na bunge kwa mwaka wa fedha 2016/2017.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,  Mhe. Angelina Mabulla akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Yamungu Kayandabila Nje ya Ukumbi wa Bunge baada ya bajeti ya Wizara hiyo kupitishwa kwa mwaka wa fedha 2016/2017.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi na Naibu Waziri Mhe. Angelina wakina na baadhi ya watendaji wa Wizara Nje ya Ukumbi wa Bunge baada ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kupitishwa na bunge kwa mwaka wa fedha 2016/2017.

No comments: