Advertisements

Monday, May 2, 2016

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM (BARA) MANGULA AKUTANA NA WAZIRI MAMBO YA NJE KUTOKA CHINA MJINI DODOMA

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara ) Mhe. Philip Mangula akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo wa CPC Mhe. Guo Yezhou mjini Dodoma ambapo walizungumzia mahusiano imara kati ya Tanzania na China pamoja na mipango mbali mbali ya kimaendeleo.
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dodoma Mhe. Adam Kimbisa akifafanua jambo wakati wa kikao cha Naibu Waziri wa Mbao ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Watu wa China Mhe. Guo Yezhou mjini Dodoma.

No comments: