Sunday, May 8, 2016

VIJIMAMBO INAWATAKIA WAMAMA WOTE DUNIANI HAPPY MOTHER'S DAY

1 comment:

  1. Nadhani siku kama hii ya Mama ikitumika sana nchi za ulaya,kwa sababu Familia nyingi aziishi na wazazi wao..hususani wanapozeeka.Huwaweka kwenye majumba yaitwayo kwa kingereza"Retirement Residents Home Care"na hivyo kupelekea watoto hawa kuto onana na wazazi wao hadi siku rasmi kama hiyo ya Mothers day na ile ya Fathers day.Wale wanaoishi ughaibuni watanielewa vizuri ninachokiandika hapa.Kwa kweli...sisi waafrika...hususani mimi..naweza kusema siku ya mama ni Everyday na hata ya baba...wapo wakati wote na maisha yetu...sidhani kama yastaili kuwa na siku rasmi ya watu hawa wawili...come on...hii ni kwa sababu nchi za ulaya ubize ni mwingi sana...na hasa kikazi...bill,morgage..n.k..lazima zilipwe...therefore,hupelekea hawa watoto kuwadampu wazazi wao kwenye nyumba za wazee...watunzwe kiserikali...wewe waonaje na hili....siku ya mama kwangu ni EVERYDAY FULLSTOP...AXANTENI

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake