ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 28, 2016

VIJIMAMBO USO KWA USO NA MAJAJI KUTOKA BONGO

 Kutoka kushoto ni Jaji Mhe. Mary Mrio na  Mhe.Latifa Mansoor jaji wa mahakama kuu Tanzania ambao pamoja na wengine wapo Washington, DC kwa ajili ya mkutano wa 13th Biennial Conference ambalo ni kongamano kwa ajili ya majaji wanawake unaofanyika katika hotel ya Omni ya Washington, DC. Kongamano hilo lilionza May 26 na kumalizika May 29, 2016 imeratibiwa na International Associatin of Women Judges.
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwmwapisha Mhe. Latifa Mansoor June 19, 2012 kuwa jaji wa mahakama kuu, Tanzania. hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar wakati huo Rais Mustaafu akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.



No comments: