Saturday, June 4, 2016

ASYA IDAROUS KHAMSIN AREJEA DAR KUSHIRIKI STARA FASHION WEEK!

Baada ya mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin kuendelea kufanya vizuri huko Marekani kwa kufanya Fashion Show kadha wa kadhaa like "Dicota 2016" Habari njema mwanamitindo huyu amerejea nchini Tanzani siku chache zilizo pita kwa ajili ya Fashion Show kubwa maarufu kama "Stara Fashion Week" inayotegemea kufanyika hapo kesho Jumapili 5/6/2016 ndania ya "City Garden Restaurant"

Kumbuka vazi hilo litaoneshwa na kuuzwa siku hiyo hiyo kwa watakao hitaji, kiingilio ni 30000 kwa watu wa kawaida 50000 kwa VIP muda ni kuanzia saa 10 asubuhi mpaka 11 Jioni Lunch itatolewa bureeee! nyote mnakaribishwa.

No comments: