Saturday, June 4, 2016

Baadhi waachiwa tuhuma za mauaji msikitini



Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Ahamed Msangi
By Jesse Mikofu, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz

Mwanza. Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Ahamed Msangi amesema pamoja na kuwaachia watu ambao hakutaja idadi yao, bado wanafuatilia wengine ambao wanaonekana kuhusika na tukio hilo, bila kutaja idadi ya watu waliochiwa.

“Wapo baadhi walioachiwa, wengine watafikishwa mahakamani wakati wowote baada ya kuona ushahidi una kila aina ya dalili za kuhusika na tukio hilo,’’ amesema Msangi.

Katika mauaji hayo, watu watatu waliuawa kwa kukatwa mapanga wakisali msikitini akiwamo Imamu wa Msikiti huo, Feruz Ismail na wengine wawili na kumjeruhi mtoto wa miaka 13.

Kwa taarifa zaidi nunua gazeti lako la Mwananchi au soma mtandaoni kupitiawww.epaper.mcl.co.tz

No comments: