Sunday, June 5, 2016

Briana Kagemuro aonyesha mavazi aliyobuni na kushona kwenye "Black Fashion Matters" fashion show.

Vijana wacheza Tennis na wanafunzi wa ushonaji na mitindo walionyesha umahiri wao kwa nguo walizozibuni na kushona na kisha kuzionyesha katika maonyesho ya Black Fashion Matters yaliyoandaliwa na vijana wacheza Tennis, Washington,DC.
Washiriki katika picha ya pamoja
Kati ya mavazi hayo kulikuwa ni mavazi ya Africa na Asia.
Pichani (chini) Briana akionyenya mavazi aliyoyabuni na kushona katika kituo cha SE Tennis SE,Washington DC siku ya Jumamosi Juni 4.
Vazi la kiafrika
Vazi la ki-Asia
 

No comments: