Chris Kassuwi akiwa amebebwa na shangazi yake siku ya Jumamosi June 25, 2016 Sleep Inn Laurel, Maryland siku aliposherehekea siku yake ya kuzaliwa ya miaka 5.
Chris Kassuwi akiwa katika picha ya pamoja na watoto wenzake.
Chris Kassuwi akiwa katika picha ya pamoja na baba yake Alex King Kassuwi, shangazi yake pamoja na kaka zake.
Alex King kassuwi akiwa katika picha ya pamoja na marafiki zake waliohudhuria kwenye sherehe ya mwanae Chris Kasssuwi.
1 comment:
Happy birthday baby boy,mwenyezi Mungu aendelee kukukuza
Post a Comment