Sunday, June 12, 2016

MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD ASHIRIKI FUTARI YA PAMOJA DMV USA

Mwenyekiti wa jumuiya kiislam ya watanzania inayounganisha majimbo matatu  washington DC, Maryland, naVirginia  (DMV) Sheikh Ali Mohammed, akitoa neno kwa waumini waliohudhuria, mbele ya mgeni rasmi Maalim Seif Shariff Hamad
Shamis Abdulla Mattar mmoja wa viongozi wa jumuiya akielezea machache
Mh. Jussa Ismail mmoja wa ujumbe ulioambata na Maalim Seif Shariff Hamad akisalimia na kutoa shukran wa wana jumuiya
Mh. Maalim Seif Shariff Hamad kwa hisia kali akiwapondeza na kuwashukuru wana jumuiya na kuwataka waendelee na umoja walionao na mshikamano kwani huo ndio utamaduni wetu na muongozo wa dini, pia aliwaeleza atakuta na watanzania siku ya jumamosi
Sheikh Ibrahim Alieongoza sala ya magharib mbele ya waumin waliodhuria katika futari ya pamoja















































Chini kabisa ni ujumbe uliofuatana na Mh Maalim Seif Shariff Hamad wakisikiliza kwa makini mawili maattu lutoka kwa maaalim Seif, hayupo pichani

2 comments:

Anonymous said...

POLITICS AND RELIGION OR RELIGION AGAINST POLITICS? FALLACIOUS!

Anonymous said...

I guess a whole bunch of we Zanzibaris, especially Zanzibaris from Pemba, are completely brainwashed. Maalim, narcissistic as he is, is clearly the least qualified person to preach about democracy. He has been CUF Secretary General and the party's presidential candidate since multiparty system was reintroduced in Tanzania, more than twenty years ago. Democracy should start at the party level. There can be no democracy at the country level if there's no democracy at the party level. It's that simple! Is CUF so politically bankrupt that Maalim is the only member who can competently serve as Secretary General or run for Zanzibar president?

If Dr. Shein is a dictator, as Maalim tries to paint him, then we should all agree that Maalim is a dictator par excellence (the worst dictator we have ever had in Zanzibar history)! Anyone who has shown serious interest in replacing him has perished politically from the party. Under normal circumstances, the party's chairman is the most powerful party leader, but this is not the case within CUF. In fact, no chairman has wielded more power than has Maalim (secretary general), in CUF's history.