Advertisements

Monday, June 27, 2016

MISSY TEMEKE NA MUMEWE W AFUTURISHA NYUMBANI KWAO SILVER SPRING, MARYLAND

 Wakwanza kushoto ni Missy Temeke na mumewe Mohamed Matope (wapili  toka kulia) wakipata picha ya pamoja na wageni wao siku ya Ijumaa June 24, 2016 siku walipofutarisha ndugu, jamaa na marafiki wao wa karibu nyumbani kwao Silver Spring, Maryland. Wapili toka kushoto ni Colonel Adolph Mutta, mwambata wa jeshi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada, akifuatiwa na Colonel Mstaafu Matope (baba mzazi wa Mohamed Matope), mama Mutta na kulia ni Dj Moe.
 Wapili toka kushoto waliokaa kwenye sofa ni Colonel Mstaafu Matope akipata picha ya  kumbukumbu na wanaDMV marafiki wa karibu wa Missy Temeke siku ya Ijumaa June 24, 2016 siku Missy Temeke na mumewe walipofutarisha na kuwakaribisha ndugu, jamaa na marafiki nyumbani kwao Silver Spring, Maryland.


1 comment:

Anonymous said...

MASHALAAH