Tuesday, June 7, 2016

MKUU WA WILAYA IRINGA, RICHARD KASESELA AKUTANA NA KIONGOZI WA JUMUIYA YA WAISLAMU WAAAHMADIYA IRINGA

5/6/16 Mkuu wa wilaya ya Iringa alikutana na kiongozi wa jumuiya ya Waislamu Waahmadiya ambao waliendesha kongamano la amani. Mkuu wa wilaya alimshukuru kiongozi huyo wa jumuiya hiyo mkoani Iringa kwa kuhamassisha kuishi kwa amani. Naye Mkuu wa wilaya alisistiza suala la kuvumiliana " religious and political torelence" Kila mmoja wetu anayo nafasi katika kuhakikisha amani inapatikana toka nyumbani mwetu hadi kwenye taifa. Mkuu wa wilaya pia aliwatakia mfungo mwema kwa mwezi mtukufu. JUMUIYA HII INA MSEMO ' LOVE FOR ALL HATRED FOR NONE" MAPENZI KWA WOTE CHUKI SI KWA YOYOTE.

No comments: