ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 19, 2016

MWENGE WAINGIA IRINGA

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Bi Amina Masenza, Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela, Mkuu wawilaya ya Kilolo Selemani Mzee na Mkuu wa wilaya ya Mufindi Jolwika Kasunga wakicheza ngoma ya kihehe wakipokea Mwenge kutoka Mkoa wa Njome leo eneo la Nyigo
2321 Vijana wa Karate na chipukizi kutoka Iringa wakiwaonyesha Njombe ufundi wa kisansui
Mkuu wa mkoa wa Njombe Bi rehema Nchimbi leo amemkabidhi Mkuu wa mkoa wa Iringa Bi Amina Msenza Mwenge wa Uhuru utakaokimbizwa kwa siku 5 mkoa wa Iringa wenye halmashauri 5 na kuzindua miradi, kukagua na kuweka jiwe la Msingi yenye thamni ya Tsh bil 25. leo Mwenge huo umekimbizwa Wilaya ya Mufindi , kesho wilaya ya Iringa. shamrashamra hizo zilifanyika kijiji cha Nyigo.

No comments: