Advertisements

Saturday, June 18, 2016

NAIBU SPIKA AKUTANA NA UJUMBE WA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA CHINA


Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Kiongozi wa Msafara wa Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang wakati alipofanya mazungumzo na Kamati hiyo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akizungumza na Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang ambaye pia ni Kiongozi wa Msafara huo.Kiongozi wa Msafara wa Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang (katikati) akisanini Kitabu cha Wageni alipomtembelea Naibu Spika Dkt Tulia Ackson ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.

Kiongozi wa Msafara Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang akimkabidhi Naibu Spika Dkt Tulia Ackson zawadi mara baada ya kuzungumza nae ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.

Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akiangalia zawadi aliyopewa na na Kiongozi wa Msafara Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang mara baada ya kuzungumza nao ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.  (Picha na Ofisi ya Bunge)


No comments: