Monday, June 6, 2016

NG'ARING'ARI KWENYE SEND OFF YA GLORIA GERALD BOYMAND HUKO MASSACHUSETTS



Gloria akimlisha kipande cha keki mdhamini wa pendo lake kwenye send off yao iliyofanyika huko Massachusetts weekend.
Gloria akiwa kwenye vazi la kimalikia ukumbuni hapo

Gloria akiwa na mdhamini wa pendo lake wakipata ukodak na keki yao., kwa picha zaidi nenda soma zaidi 


Kwa Picha zaidi pia usikose kutembelea hapa          http://tembaphoto.com/index.php?sphoto=1

3 comments:

Anonymous said...

ni wanaigeria kama si wanaigeria wamejiaibisha wanatangaza utamaduni ambao sio wao

denis said...

nice work

Anonymous said...

Elewa hivi mwanamke mtanzania anaolewa na mnaigeria ndio maana yake. Hapa bibi harusi mtarajiwa kava kavaa vazi la kinaigiria kwa maana yeye ni queen wa mumewe. Lakini ukiangalia wengi wamejaa na nguo za vitenge ambazo zinavaliwa Africa nzima na hata ulaya pia.
Hakuna aliyesema kitenge au khanga ni vazi la Nigeria.