Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha
China Luo Zhijun kutoka jimbo la Jiangsu
nchini China, ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Balozi wa China hapa nchini lu youqing aliyeambatana na Kiongozi huyo wa chama
cha Kikomunisti cha China, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha
China Luo Zhijun kutoka jimbo la Jiangsu
nchini China.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha
China Luo Zhijun kutoka jimbo la Jiangsu
nchini China mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na ujumbe wa kiongozi huyo wa chama cha Kikomunisti cha China Luo
Zhijun pamoja na Balozi wa China hapa
nchini lu youqing mara baada ya kumaliza Mazungumzo yao. Wengine katika picha
ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi pamoja na Mkuu wa mkoa wa
dar es Salaam Paul Makonda. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment