ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 21, 2016

RATIBA YA FUTARI YA PAMOJA WASHINGTON DC (DMV)

Assalam Alaykum, Wa Rahmatullah, Wa Barakatuhu
Uongozi wa Tanzanian Muslim Community Washington DC Metro (TAMCO) unawakaribisha kwenye Futari Ya Pamoja Kila Jumamosi na Jumapili za Mwezi wa Ramadhan.

Kama Kawaida Yetu, Tunaombwa tuhudhurie na tuwajulishe na kuwakaribisha WaTanzania Wenzetu, tupate Fadhila na Baraka za Ramadhan:-




Jumamosi ya KWANZA, June 11th, 2016
Spencerville Local Park
Address:  15701 Good Hope Road, Silver Spring, MD 20905
Jumapili ya KWANZA, June 12th, 2016  
Indian Springs-Terrace Park Activity Building
Address:  9717 Lawndale Drive, Silver Spring, MD 20901

Jumamosi ya PILI, June 18th, 2016
Spencerville Local Park
Address:  15701 Good Hope Road, Silver Spring, MD 20905

Jumapili, June 19th, 2016 – Jumapili, July 3th, 2016 (Siku Zote Zilizobaki):

Indian Springs-Terrace Park Activity Building
Address:  9717 Lawndale Drive, Silver Spring, MD 20901




Zingatio: Jumamosi MBILI za Mwanzo Tutakuwa Spencerville Local Park

Muda ni Kuanzia Saa Moja ya Usiku Mpaka Saa Nne Usiku. 7PM – 10PM




Kwa maelezo zaidi, wasiliana na:
Ali Mohamed       301 500 9762
Jasmine Rubama  410 371 9966
Iddy Sandaly         301 613 5165
  Asha Nyanganyi    301 793 2833
Shamis Abdullah   202 509 1355
Asha Hariz          703 624 2409




*** RAMADHAN KAREEM ***

No comments: