Advertisements

Wednesday, July 27, 2016

Aliyemuua Mwangosi ahukumiwa miaka 15 jela


By Mwandishi Wetu, Mwananchi

Iringa. Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemfunga miaka 15 kwa kosa la kuua bila kukusudia askari wa kikosi cha kuzuia ghasi, Picifius Simon aliyekuwa akituhumiwa kumuua mwandishi wa habari wa kituo cha Chanenel Ten, Daud Mwangosi huko Nyololo wilayani Mufindi.

Hukumu hiyo iliahirishwa toka wiki iliyopita hadi leo Jaji wa Mahakama hiyo, Dk Paul Kihwelo amesema kuwa mahakama ilimitia hatiani mtuhumiwa huyo kufuatia ushahidi alioutoa mlinzi wa amani.

Jaji Kihwelo amesema kuwa mbele ya mlinzi wa amani mtuhumiwa alikiri koso hilo akisema alitenda bila kudhamiria

Kwa taarifa zaidi nunua gazeti lako la Mwananchi au soma mtandaoni kupitiawww.epaper.mcl.co.tz

No comments: