Advertisements

Sunday, July 24, 2016

AUDIO: Kwaheri JK, Karibu Magufuli: Uchambuzi wa kina kuhusu uchaguzi wa m/kiti wa CCM (T)


Jana Julai 23, 2016 Rais Dokta John Magufuli alichaguliwa kwa asilimia 100 kuwa Mwenyekiti mpya wa Taifa wa chama tawala CCM, na mtangulizi wake, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, kung'atuka rasmi. Ufuatao ni uchambuzi wa kina kuhusu mabadiliko hayo ya uongozi wa juu kabisa wa chama hicho kikongwe, hasa fursa na changamoto kwa Mwenyekiti mpya Magufuli. Karibuni
Check this out on Chirbit

1 comment:

Anonymous said...

Kuna kitu ganinkipya unekielezea hapo au umefanya Copy Paste. Ulipokea book 7 nini.? Vyema ukarejea Lumumba tufanye kazi kwa pamoja japokuwa vyeo vya ukuu wa Wilaya vimeshapangwa. Labda afe mtu! Karibu Lumumba.!