Mwenyekiti wa
Baraza la Vijana wa , Juvicuf, ambaye pia ni Mbunge wa Mchinga Hamidu Bobal
(kushoto), akizungumza na wanafunzi wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF)
wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (JIVICUF UDSM), Dar es Salaam jana wakati
akizindua tawi la wanafunzi hao katika chuoni hapo.
Mbunge wa Kilwa
Kusini Seleman Bungara maarufu Bwege (CUF), akizungumza na wanafunzi hao
katika uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment