Advertisements

Sunday, July 24, 2016

JACKLINE WOLPER AJIUNGA NA CCM


Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyakuwa akimuunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, ametangaza kujiunga na CCM rasmi jana
Wolper alikaribishwa na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Dkt Jakaya Kikwete baada ya kutangaza kujiunga na CCM.


Kitendo hicho kilifanyika katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika jana Julai 23, mkoani Dodoma.


3 comments:

Anonymous said...

Njaa mwanaharamu,mizoga mitupu hii

Anonymous said...

Hawa ndio Ngombe waliokatika mkia wakiwa malishoni wamerejea zizini wanasanifika kwani wanaonekana kabisa mkia hawana.

Anonymous said...

Chadema mabuzi hakuna nini??