Advertisements

Monday, July 11, 2016

JINAMIZI LA NGOMA AFRICA BAND KUSUMBUA VICHWA WASHABIKI ULAYA TENA!

written by Zainab Ally Hamis
Dar es salaam School of Journalism(DSJ)


Jinamizi la muziki wa Ngoma Africa band limeamua kuwaganda na kuwanyima usingizi washabiki wa muziki barani ulaya !
bendi hiyo maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni ukipenda waite viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens au
watoto wa mbwa ni majina ya utani walibatizwa na washabiki wao,
mzimu huo wa muziki Ngoma Africa band inayioongozwa na kiongozi
wake Ebrahim Makunja almaarufu Kamanda Ras Makunja mkuu wa viumbe
wa ajabu ,kikosi hiko kitatingisha maonyesho makubwa ya muziki kule ughaibuni baadhi tu ya maonyesho hayo ni kama yafatanyo na yote yatakuwa siku za jumamosi

16 July2016 Afro-Karibik Festival Bayreuth,Germany
23 July 2016 Inter.Afrika Festival Tuebingen,Germany
30 July 2016 XXL Afro Summer Jam, Stuttgart,Germany
13 Augost 2016 Afrik-Karibik Festival,Robestock Park,Frankfrurt,Germany


bendi hiyo inayodumu katika medani kwa miaka 23 sasa ndio bendi pekee ya kiafrika kufanikiwa kudumu kwa muda mrefu na kuwanasa maefu ya wwashabiki kila kona duniani.

usikose kuwasikiliza at www.ngoma-africa.com

pia ungana nao at www.facebook.com/ngomaafricaband

No comments: