Advertisements

Sunday, July 17, 2016

KISOMO CHA KUMUOMBEA DUA MAREHEMU DADA YETU KHADIJA ABUBAKAR SAID KILICHOFANYIKA DMV NCHINI MAREKANI


Ustadh Malik (mwenye kitabu) akiongoza dua ya kumuombea marehemu dada yetu Khadija Abubakar Said iliofanyika katika kitongoji cha Germantown Maryland USA, 
 Sheikh Bwalu ( mwenye kanzu nyupe ) akishiriki katika kisomo cha marehemu shemegi yake kilichohudhuriwa na watanzania  waishio katika maeneo ya DMV

Dada Aisha Bwalu (wapili kutoka kulia) kwa hisia kali akiwa katika kisomo cha marehemu dada yake Khadija Abubakar Said, pia ndugu jamaa na marafiki walishiriki kuonyesha ushirikiano wao


No comments: