Advertisements

Saturday, July 23, 2016

KWAHERI MWENYEKITI MH JAKAYA MRISHO KIKWETE KARIBU MWENYEKITI MPYA MH.JOHN POMBE MAGUFULI

Tunakushukuru sana kwa kusimamia vyema Mchakato wa kumpata Mgombea wa kiti cha Urais kwa tiketi ya CHAMA CHA MAPINDUZI
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alijitahidi katika suala la haki sawa ambapo kufikia 2015 asilimia.ya wanawake katika haki sawa ilikuwa 36% katika ngazi mbalimbali za utumishi
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amehakikisha kupunguza vifo vya akina mama wajawazito kugawiwa vyandarua bure na huduma Bure kila wanapojifungua
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ameimarisha miundo mbinu mfano Daraja la kigamboni
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
amesimamia.swala la Elimu kuhakikisha kila mtoto anapata Elimu
Amejenga Chuo kikuu Dodoma
KARIBU MWENYEKITI WETU MPYA MH JOHN POMBE MAGUFULI
MH Amejizolea sifa ndani na nje ya mipaka kwa uchapakazi na kauli mbiu ya "HAPA KAZI" Tujenge Nchi yetu tuimarishe CHAMA
KWANIABA YA CCM DMV MAREKANI
KWAHERI MH JAKAYA MRISHO KIKWETE KARIBU MH JOHN POMBE MAGUFULI
SALMA MOSHI
KATIBU ITIKADI NA UENEZI
CCM DMV MAREKANI

1 comment:

Anonymous said...

Takwimu hazisemi uongo kikwete kafanya yake mengi mema na jambo moja jema zaidi alilolifanya ni kujua udahaifu wake katika uongozi na kutambua nchi yetu ilikuwa inahitaji kiongozi wa aina gani ili kuja kurekebisha yale mapungufu yaliyojitokeza katika serikali yake la sivyo angempigia debe rafiki yake wa damu Edward Lowasa.kikwete kwa kumpendekeza Magufuli kuwa mgombea wa uraisi kwa ticket ya CCM kwa kweli ni kitendo cha kihistoria itakayo endelea kukumbukwa daima,hakika kikwete ni mtanzania halisi na mwenye kuumwa na Tanzania lakini ni watanzania wenye fikra za ndani zaidi ya maono ya kawaida ndio wanaojua hilo. Hongera muheshimiwa Kikwete kwa kuwatumikia watanzania kwa moyo wako wote Mungu akubariki sana.Amin