Advertisements

Saturday, July 23, 2016

Reggae Time ya Pride Fm Julai 23, 2016.....Vijana wa dunia

Mataifa mengi duniani yana kipimo tofauti kinachotafsiri umri wa kijana. Lakini Umoja wa mataifa unamtambua kijana kama mtu mwenye umri kati ya miaka 15 na 24. Hata kwa tafsiri hii ya Umoja wa Mataifa, bado maswali mengi yanazuka kuhusu idadi na mustakabali wa vijana dunia.
Katika kipindi cha leo tumeangalia mambo kadhaa ambayo ni muhimu kwa vijana na wazazi kujua kuhusu kundi hili kubwa duniani

Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com ama kupitia HAPA TUNE IN na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658

No comments: