Advertisements

Wednesday, July 6, 2016

MABADILIKO RATIBA YA MAZISHI YA MHESHIMIWA BEATRICE SHELUKINDO

Familia ya William H. Shelukindo inapenda kuwataarifu kuwa mazishi huko Arusha ya Mpendwa wao Beatrice Matumbo ShelukindoMbunge wa zamani wa Kilindi sasa yatafanyika siku ya Alhamisi tarehe 7/7/2016 na sio leo Jumatano tarehe 6/7/2016 kama ilivyotangazwa awali.

Bwana Ametoa Bwana Ametwaa,Jina la Bwana Lihimidiwe.

No comments: