Advertisements

Saturday, July 23, 2016

MABONDIA IDD MKWELA KUPAMBANA NA MWITA MACHAGE KUSHO JUMAPILI JULAI 24 TANDIKA

Bondia Idd Mkwela kushoto akiwa na Mwita Machage baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili ya julai 24 katika ukumbi wa musoma bar Tandika 
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila'Super D' wa pili kushoto akiwa na mabondia Idd Mkwela kushoto Vicent Mbilinyi Shabani Kaoneka na Mohamed Kisua

No comments: