Advertisements

Thursday, July 28, 2016

Mbowe atangaza operesheni Ukuta

1 comment:

Anonymous said...

Ahsante Dikiketa Mbowe,umemfanyia mizengwe Zito Kabwe na kutimuliwa kwenye chama sababu ya kuhoji kwanini kunakuwa na mwenye kiti wa maisha chadema na mwenye kiti huyo yaani Mbowe hufanya maamuzi kibinafsi bila ya kufuata katiba ya chama kwa mfano uamuzi wa Mbowe wa kumchagua Lowasa kuwa mgombe pekee wa ticket ya uraisi kupitia chadema? Fikiria mtanzania mwenye akili timamu tungekuwa na serikali ya Tanzania chini ya mwenyekiti mbowe tungekuwa na nchi ya aina gani? Dk Slaa alikuwa mpambanaji wa kweli chadema ila udikteta wa Mbowe ndio uliomkimbiza. Zito Kabwe alikuwa mpambanaji wa kweli chadema ila udikteta wa Mbowe ndio uliomfanyia figisu kutumuliwa chadema. Nnaimani kabisa baada ya watanzania kuona jinsi gani Magufuli anavyopambana kulitafutia taifa maendeleo ya kweli wale wanaoendelea kumsapoti Mbowe na genge lake watakuwa wanafanya hivyo kwa imani ya ukanda zaidi kuliko uzalendo wa taifa. Mbowe kulia kuwa wanaminywa kidemokrasia ni upuuzi mtupu.Uchaguzi ulifanyika Tanzania Magufuli na chama chake wakashinda upizani wakakataa kumtambuwa raisi sasa huo kama si ukiukaji wa demokrasia wa hali ya juu ni kitu gani? Malalamiko yote anayoyalalamikia Mbowe kuhusu muendelezo wa siasa Tanzania ni mazingira ghasi walioyatengeneza wao wenyewe binafsi. Maghufuli mbona ni mtu mzuri tu kama kweli wapinzani wana nia kushirikiana nae kuijenga nchi. Ila wapinzani wanapaswa kufahamu jitihada zozote za nguvu za kujaribu kumpiga vita Magufuli hazitafanikiwa Tanzania. Ni busara pekee kutoka kwa upinzani ndizo zitakazofanikisha kuleta mahusiano mazuri na serikali lakini hicho kitu siwezi kukiona kikitokea ikiwa chadema na ukawa itaendelea kuwa chini ya mwenye kiti Mbowe ni mtu ambae upeo wake wa siasa ni mdogo mno ni wa kutumia vitisho na hofu kwa watanzania ili kujijenga kisiasa ni siasa zilizopitwa na wakati. Watanzania wanahitaji upendo na hamasa na matumaini yakuwa na maisha mazuri kazi ambayo Magufuli anaendelea kuifanya kikamilifu.