Advertisements

Monday, July 11, 2016

MISSY T KATIKA MKARIBISHO WA EID NYUMBANI KWA MR & MRS SEIF AMEIR GREENBELT, MARYLAND.

Mr & Mrs Seif Ameir wakiwa nyumbani kwa Greenbelt, Maryland nchini Marekani wakiwa katika picha ya pamoja huku wakiwa wamewakaribisha wageni wao kushereheka pamoja na familia yao kwenye sherehe ya Eid July 6, 2016.
 Watatu toka kushoto ni Seif Ameir akiwa na wageni wake nyumbani kwake Greenbelt, Maryland nchini Marekani,
Nagis Ameir (kulia) akiwa na wageni wake kutoka kushoto ni Melisa, Aunty Rehema, Missy Temeke na Aunty Zuhura.

Seif Ameir akiwa na wageni wake waliofika nyumbani kwake kusherehekea siku ya Eid.

 

No comments: