Advertisements

Friday, July 15, 2016

MKUU MKOA WA RUVUMA ATEMBELEA WILAYA ZA MBINGA NA NYASA

Mkuu Mkoa wa Ruvuma Dkt.Binilith Mahenge(mwenye koti la bluu) akitazama mpaka wa hifadhi ya msitu wa Luhekei wilaya ya Nyasa.Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Nyasa Isabela Chilumba na aliyenyosha mkono ni Katibu Tawala Mkoa Hassan Bendeyeko.
Sehemu ya watujishi wa wilaya ya Mbinga wakimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipokuwa akiongea nao kwenye ukumbi wa Makita Mbinga.
Mkuu wa wilaya ya Mbinga Cosmas Nshenye (aliyesimama) akitoa taarifa ya maendeleo ya wilaya ya Mbinga kwa Mkuu wa Mkoa Ruvuma Dkt.Binilith Mahenge wakati alipotembelea wilaya hiyo leo.

No comments: