Advertisements

Friday, July 15, 2016

WAZIRI NAPE AANZA KUWAKABA WAHARAMIA WA KAZI ZA WASANII NCHINI

Waziri Nape akiwa ndani ya duka hilo

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye Waziri Ijumaa hii amefanya ziara ya kushtukiza katika duka linalodaiwa kudurufu CD za kazi za wasanii Kariakoo jijini Dar es salaam.
Katika ziara hiyo alizunguka katika mitaa ya Kariakoo inayohusika na uuzaji wa CD/ DVD na kubaini kiwanda bubu cha kudurufu kazi za wasanii.

Akiongea katika ziara hiyo, Nape alitaka duka hilo kufungwa huku taratibu nyingine zikifuata.

No comments: