Advertisements

Monday, July 11, 2016

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma atembelea wilaya ya Tunduru


Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilith Mahenge akikagua daraja la Mto Nampungu wilaya ya Tunduru. Daraja hili lenye urefu wa mita 100 limekamilika kujengwa. Barabara hiyo ya Namtumbo - Tunduru (km 193) inajengwa kwa kiwango cha lami na itakamilika mwezi Oktoba 2016.
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilith Mahenge akiongea na wananchi wa Tarafa ya Matemanga wilaya ya Tunduru alipofanya ziara ya Kijazi kukagua shughuli za maendeleo na kusikiliza kero za wananchi.
Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Juma Homera akizungumza na wananchi wa Matemanga kuhusu kero ya maji kutokana ma mradi wa maji kusimama kwa kukosa fedha.

No comments: