Ndugu watanzania wa DMV tunasikitika kuwajulisha kuwa ndugu yetu Juma Mkuu (Juma Kitwala) amefiwa na mama yake mzazi Leo huko nyumbani Tanzania.
Kama Ilivyo mila na Desturi yetu basi tumpigie simu mfiwa au twende tukamuone ili kumpa pole na kutoa Rambirambi zetu.
Msiba kwa hapa DMV upo:
62000 ager road
Hyattsville MD 20782
Kwa Taarifa zaidi wasiliana na;
Juma Mkuu/ Juma Kitwala:
202 270 6407
Adam Tenga: 240 491 1770
Iddi Sandaly: 301 613 5165
No comments:
Post a Comment