Advertisements

Monday, July 18, 2016

VIVAZI USIKU WA DMV OLD FRIENDS REUNION

Kamati iliyofanikisha DMV Old Friends Reunion iliyofanyika siku ya Jumamosi July 16, 2016 Ellicott City, Maryland. Kutoka kushoto ni Deo Mosha, Dada Tuma, Dj Luke, Dada Neesha, Dada Joyce Mshana na Katts.
Mwanakamati Lemmy Mhando katika picha

5 comments:

Anonymous said...

Luc safi sana party imetulia. Big up ��

Anonymous said...

Je maisha yamebadirika kidogo?

Anonymous said...

Wow! Looking so nice!

Anonymous said...

Nawaona "Wachaga Wajanja", lakini siwaoni "Morani wa Kimasai" jamani..kwa nini?

Anonymous said...

Great party.