ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 3, 2016

PITAPITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO NYUMBANI KWA BILAL BROOKLYN NEW YORK


Bilal na mama mwenye nyumba wake wakipata ukodak na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi (katikati) Baada ya kumaliza Iftar na mgeni wao huyo.

 Hapa Mh.  Mwinyi akiwa na familia yake, Bilal nae akiwa na familia yake wakiwa mbele ya ukodak wa Vijimamboblog.


No comments: