Bwana Philemon Anamwikira Ikaa Munuo,
Anayeoneka Kwenye Picha Hapo juu anaitwa Philemon Anamwikira Ikaa Munuo, umri miaka (61) ametoweka kuuanzia siku ya juma tano tar.29.06.2016 Nyumbani kwake Bunju B Dsm, Tafadhali yeyote atakaemuona apige simu Police au Kwenye number zifuatazao..
0713449666 (Rich)
0754226760 (Tumsifu)
0713552828(Rodrick)
0718555909 (lucas)
0713481648 (Tumaini)
..Tafadhali sambaza ujumbe huu.
No comments:
Post a Comment