Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi, akizungumza na Watanzania wa Jumuiya ya Kiislamu, Tanzanian Muslim Community (TAMCO) mara baada ya Iftar ilioandaliwa rasmi na jumuiya hiyo, Siku ya Jumamosi July 2, 2016 ndani ya ukumbi wa Lawndale Dr. Silver Spring, Maryland U.S
No comments:
Post a Comment