Advertisements

Saturday, July 9, 2016

Prof. Elisante Ole Gabrieli akutana na Wadau wa Utamaduni kutoka UNESCO

Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel(Katikati) akiongea na wadau wa utamaduni kutoka UNESCO pamoja na Idara ya Maendeleo ya Sanaa na Utamaduni katika kikao cha kujadili mpango mkakati wa miaka mitano wa maendeleo ya Utamaduni nchini,leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel(kulia) akimsikiliza Afisa Utamaduni kutoka UNESCO Bw.Louise Crayssac katika kikao cha kujadili mpango mkakati wa miaka mitano wa maendeleo ya Utamaduni nchini, leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel(kulia) akimsikiliza Afisa Utamaduni kutoka UNESCO Bw.Halvor Storrusten katika kikao cha kujadili mpango mkakati wa miaka mitano wa maendeleo ya Utamaduni nchini, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel(kulia) akiwa katika picha na wageni kutoka UNESCO na Idara ya Maendeleo ya Utamaduni na Sanaa baada ya kumalizika kikao kilichokuwa kikijadili mpango mkakati wa miaka mitano wa maendeleo ya Utamaduni nchini,leo jinini Dar es Salaam.

No comments: