Advertisements

Monday, July 11, 2016

RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA MUIGIZAJI NYOTA WA FILAMU ZA KIHINDI BW. KUNAL KAPOOR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkongwe wa Filamu za Kihindi Bw.Kunal Kapoor aliyefuatana na Msimamizi wa Ofisi ya Utalii ya Zanzibar Mumbai,Nchini  India Bw.Jilesh Babla walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa Mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake  Mkongwe wa Filamu za Kihindi Bw.Kunal Kapoor (katikati) aliyefuatana na Msimamizi wa Ofisi ya Utalii ya Zanzibar Mumbai,Nchini  India Bw.Jilesh Babla (kushoto) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Picha na IKULU, Zanzibar

No comments: