Advertisements

Saturday, July 9, 2016

Reggae Time ya Pride Fm.....Julai 9, 2016. Tungo za Lucky Dube

Photo Credits: inndermann.de
Kipindi cha Reggae Time ya Pride Fm kilichosikika Julai 9, 2016i. Leo hii tunaangalia UHAI wa nyimbo za Lucky Dube .
Alichoimba kikingali hai sasa, kama ilivyokuwa miaka mingi nyuma. Studioni ni mwenyeji wako Mubelwa Bandio, "Comedian" wake OneMic na mwanadada Viola.

Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658
Ama kupitia TuneIn tun.in/seTTx

No comments: