Advertisements

Wednesday, July 27, 2016

TGNP NA EASSI YAZITAKA WADAU MBALIMBALI KUUNGA MKONO MSWADA WA SHERIA YA USAWA WA KIJINSIA NA MAENDELEO YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Mkurugenzi wa TGNP, Lilian Liundi akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu nchi wanachama wa EAC zimeaswa kuunga mkono mswada ambao utakuwa sheria ya usawa wa kijinsia na maendeleo wa jumuiya ya Afrika mashariki

No comments: