Advertisements

Sunday, July 24, 2016

VIONGOZI WA NYCT WAANDAA BBQ NA KUFANA JITIRIRISHE NA TASWIRA HAPA CHINI


Mwenyekiti wa NYCT Slyvester Mwingira akiongea mbele ya Watanzania waliojitokesha kwenye BBQ iliyofanyika Mt Vernin New York na Watanzania kujitokeza pamoja na familia zao. Licha ya watu kufurahia nyama choma na vinywaji kulikuwa na uchaguzi mdogo wa nafasi za katibu na Mchungani Butiku aliwaapisha viongozi hao waliochaguliwa pamoja na viongozi wa bodi.


Balozi Tuvako Manongi, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa ndiyo alikuwa mgeni Mwalikwa kwenye BBQ hiyo iliyoandaliwa na NYCT.

Mmoja ya viongozi wa bodi Bwana Seif Akida akiapishwa na mchungaji Butiku. Baada ya yote Balozi aliwaongoza Watanzania kupata chakua , Kwa picha zaidi nenda soma zaidi.

No comments: