Advertisements

Thursday, August 11, 2016

[AUDIO] Kitabu kuhusu taaluma ya ushushushu: kwanini nimekiandika, kila sura yaongelea nini

Makala hii maalum ya sauti inazungumzia kitabu changu kuhusu taaluma ya uafisa usalama wa taifa (ushushushu) ambacho sasa kinapatikana katika nakala dhahiri (hard copy). Makala hii inaeleza kuhusu nini kilichonisukuma kuandika kitabu hiki na pia inaeleza kwa undani yaliyomo kitabuni.
Check this out on Chirbit

No comments: