Advertisements

Thursday, August 18, 2016

JAPAN WAOMBOLEZA KIFO CHA ALIEYEKUWA RAIS WA AWAMU YA PILI WA ZANZIBAR MZEE ABOUD JUMBE MWINYI (96)

Ubalozi wa Tanzania Tokyo, Japan wanaendelea na maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mzee Aboud Jumbe Mwinyi kilichotokea tarehe 14 Agosti 2016 nyumbani kwake Mji Mwema, Kigamboni, Dar Es Salaam.
Balozi Mathias. M. CHIKAWE, Balozi wa Tanzania, Japan, akitoa salamu ya pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Tokyo, Japan. 
Balozi wa Rwanda, Tokyo, Japan, Bi. Venetia SEBUDANDI akitoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe Mwinyi kilichotokea tarehe 14 Agosti 2016. 
Mwakilishi wa Ubalozi wa Myanmar, Tokyo, Japan, Bi. Khin Nilar SOE, akitoa salamu za pole kufuatia kifo aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe Mwinyi kilichotokea tarehe 14 Agosti 2016.
Balozi wa Ireland, Tokyo, Japan, Mhe. Bi. Anne Barrington, akiwasilisha salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.
Balozi wa Zimbabwe, Tokyo, Japan, Mhe. Titus M.J.ABU-BASUTU, akiwasilisha salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi
Mwakilishi wa Ubalozi wa Kenya, Tokyo, Japan, Bw. J.K KITHAMBA akiwasilisha salamu za pole akiwasilisha salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.

TAARIFA IMETOLEWA NA UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, TOKYO, JAPAN, 18.08.2016

No comments: